Nina ndugu zangu nimewashauri wasomee masuala ya healthcare
ili kupata ajira kwa urahisi
sasa naomba mwenye kujua vyuo vya private na serikali vyenye kozi fupi za mwaka mmoja hivi au miwili
na aina za kozi wanazotoa....
Interest ipo kwenye healthcare management diploma hivi
au kama za aina hiyo
mkuu vyuo vya healthcare inategemea wanataka kusoma nini in health, inaweza kuwa Laboratory, Health records, Clinical officer na Nursing. Course nyingi ni kuanzia two years. once unajua wanataka kusoma nini then we can easly tell you vyuo.
nenda wizara ya afya utapata updated list na pia ikijumuisha na vya FBOswewe nipe orodha ya vyuo vyote vya healthcare hapa bongo
vya serikali na vya private