kozi zipi zitakuwa hazina ushindan kwenye dirisha la pili??

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Wadau nawaomba mnsaidie msaada wa mawazo,

Kwamba niapply kozi gan ambazo zitakuwa hazna ushindan kwa round ya pili?

Mim nimepanga niapply kwenda kusoma shahada ya ualimu kwa masomo ya Physics na Chemistry,je niapply vyuo vip ili niwe na uhakika wa kupata chuo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…