Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,545
Amani iwe kwenu! nimewamis sana wakongwe wenzangu. Nawasalimieni kwa hisani ya Corona. Naamini Mwenyezi Mungu atatuvusha kama ambavyo amekuwa akituvusha miaka yote. Nimekumbuka mapishi ya bibie farkhina, mchepuko wangu Valentina sijui kama bado yuko huko Arusha.
Mchawi Mkuu Mshana Jr. lete dawa ya corona fasta
Ni mimi ndugu yenu,
KOZO OKAMOTO (ONE STAR GENERAL)
MJAPANI WA KIKURYA.
Mchawi Mkuu Mshana Jr. lete dawa ya corona fasta
Ni mimi ndugu yenu,
KOZO OKAMOTO (ONE STAR GENERAL)
MJAPANI WA KIKURYA.