KPMG Consulting Limited inafunga biashara yake Tanzania?

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Nimeona tangazo kua kampuni ya ukaguzi na ushauri ya KPMG consulting company limited kua inafunga biashara(wind up)

Je hii taarifa ni ya kweli?
 
Hii ni kampuni yanini, gani inahusik a vipi na JIWE amehusika vipi kufungwa kwake?
Kpmg nayoijua mimi inahusika na mambo ya ukaguzi wa mahesabu, kufanya kazi nyingine kwa niaba ya cag na mambo kama hayo.
 
Kpmg nayoijua mimi inahusika na mambo ya ukaguzi wa mahesabu, kufanya kazi nyingine kwa niaba ya cag na mambo kama hayo.
THanks alot msomi mewnzangu.
Unajua huko Kilimanjaro kuna kiwanda cha kutengeneza viberiti kina kifupisha hivyo, viwanda na sheria wapi na wapi, okay thanks, JIWE kaaribu mfumo kabisa.

Karibu ufikie ngazi ya usajili then utapata ujaji, japo kama hutoki kanda ilee ya JIWE subiria kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…