Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Aug 9, 2020 #21 Ethiopia Airlines imekaa pembeni inafuatilia kwa umakini sana jambo hili huku ikijandaa kutake over for good...
Ethiopia Airlines imekaa pembeni inafuatilia kwa umakini sana jambo hili huku ikijandaa kutake over for good...
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Aug 9, 2020 #22 Tatizo la kenya 1. Walifungia watu na biashara hivyo serikali imekosa kodi . 2. Kenya airways haijawahi jiendesha , mara nyingi ina endeshwa kwa ruzuku za serikali ila kwa sasa serikali haina pesa. joto la jiwe said: MY TAKE : Huu huenda ukawa ndio "last Kicks of a dying horse" Click to expand...
Tatizo la kenya 1. Walifungia watu na biashara hivyo serikali imekosa kodi . 2. Kenya airways haijawahi jiendesha , mara nyingi ina endeshwa kwa ruzuku za serikali ila kwa sasa serikali haina pesa. joto la jiwe said: MY TAKE : Huu huenda ukawa ndio "last Kicks of a dying horse" Click to expand...
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Aug 9, 2020 #23 Geza Ulole said: Click to expand... Umeshusha ukweli ambao unauma upande wapili..