KQ ina access Tanzania. Mbona hatukuambiwa?

KQ ina access Tanzania. Mbona hatukuambiwa?

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Nimeshangaa kuangalia ndege zilizowasili leo na jana, Kenya Airways kumbe inaendelea kutuletea corona huku kwetu. Wameruhusiwa vipi mbona hakuna taarifa?

Mwenye ufafanuzi tafadhali

Link: (DAR Arrivals) Julius Nyerere International Airport Arrivals

Screenshot_20200817-105444.jpg
Screenshot_20200817-105505.jpg
Screenshot_20200817-105522.jpg
 
Binafsi pia naomba kufahamu walikubaliana kipi isitokee serikali yetu ilikubali kututia rehani kisa mindege kwenda Tanzania, msimamo ubaki ule ule kila mgeni anayeingia humu lazima apanue mdomo hadi jino la mwisho, atumbukizwe kifaa cha kupima corona, basi. Iwe ni mgeni anaytuita kaka au dada au mjomba au baba au chochote lakini apimwe, huu sio muda wa kucheka na yeyote tutavuna mabua.
 
Ukiacha hii ya kukabwa koo kwa KQ,Kufungua anga letu mapema kabla ya majirani zetu imetutakangaza sana kuna flight nyingi tu mpya zimepita hapa kwetu ambazo huenda huko nyuma walikuwa wanapita Kenya wakati wa shughuli zao wamelazimika kupita huku kwa sasa!!!,wameshangazwa na ubora wa huduma zetu ikiwemo pia swala la facilities za kisasa kabisa!!!!wengine wamerudi tena na tena!!!!safi sana.
 
It must be KLM which means people booked KQ but will be boarded onto a KLM flight from those airports to Nairobi then onwards to europe, america or other african countries. sasa Tanzania ifungie KLM mpaka iache uhusiano na KQ. HAHAHAHAHA
1)The only thing that was banned was KQ not SkyTeam airlines, TZ like any other country needs airport revenues from airlines
2)Kenyans boarding other airlines are free to enter TZ
3)KQ is struggling to convince its customers that its lucrative 14 times a week to dar route is still on, so much so that it has to ivoke its skyteam code sharing
4)Meanwhile, any plane that lands with KQ code share pays TCAA airport fees + ect. Biashara iendelee
 
Walidhani airline yetu ni individual kama kwao,
Hakuna hasara kq itapata hapo.
 
1)The only thing that was banned was KQ not SkyTeam airlines, TZ like any other country needs airport revenues from airlines
2)Kenyans boarding other airlines are free to enter TZ
3)KQ is struggling to convince its customers that its lucrative 14 times a week to dar route is still on, so much so that it has to ivoke its skyteam code sharing
4)Meanwhile, any plane that lands with KQ code share pays TCAA airport fees + ect. Biashara iendelee
i) Agreed.
ii) Agreed.
iii) Not really, then why are people booking KQ? If KQ does not fly to Tanzania anymore why would anyone book KQ from Tanzania unless they know that other skyteam members will bring them to Nairobi from where they will board their KQ flights to their final destination. Also you are wrong, the cut to 14 trips a week was GOT acting stupid in 2015 and KQ , GOK complied,but since then even though KQ makes losses, their revenues have been growing and now they generate $1.5 billion in revenues ie Customers love KQ that is why their revenues keep growing every year.
iv)Agreed which is bad news for GOT which thought it would punish KQ but surprise, foreigners who are exiting Tanzania still prefer KQ that is why they book KQ from Tanzania ie KQ still has presence in Tanzania whether you like it or not.
 
Tulia wewe, eti hatukuambiwa. [emoji1] Kazi yako ni tukisema hoyeee unamalizia sisiemu hoyeee! Hayo mengine tutayashughulikia sisi wenyewe, usiwe na hofu tembea kifua mbere. [emoji1]
Ndege moja kwa wiki, nayo inatakiwa mnyimwe. Hamna adabu nyie
 
Binafsi pia naomba kufahamu walikubaliana kipi isitokee serikali yetu ilikubali kututia rehani kisa mindege kwenda Tanzania, msimamo ubaki ule ule kila mgeni anayeingia humu lazima apanue mdomo hadi jino la mwisho, atumbukizwe kifaa cha kupima corona, basi. Iwe ni mgeni anaytuita kaka au dada au mjomba au baba au chochote lakini apimwe, huu sio muda wa kucheka na yeyote tutavuna mabua.
Tanzania tuna ishi tutakavyo siyo mtakavyo nyie
 
Back
Top Bottom