umejuaje wewe km hyo ni secret marketing...bwahahaaa...That is a screenshot of Flightradar24 app,has nothing to do with Airbus, their secret marketing trip to nairobi or their target (KQ)
Meanwhile KQ order to boeing is FAKE
maskini...nani huyo kaja kujifunza sgr hko...bwahahaaaaKenya chupi zinawabana, kujifunza mambo ya ndege toka Tanzania wakati KQ ipo active for over 40yrs?, soon wanakuja kujifunza kuhusu SGR, Baada ya kugundua Mchina amewajengea FGR badala ya SGR.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are just fat with a big stomach. What is your nose doing in our business
Hahahahahah, utapiamlo na vifo vya njaa kipi kinahitaji kushuhhulikiwa kwanza?.Nimesikia tetesi kwamba Magufuli ataongeza tena tani 500 Zach chakula cha msaada kwenda Mozambique.William ruto atanunua hiyo ndege ili mpate hela za kununua maziwa huko Uganda watoto wenu wanywe angalau utapia mlo upungue nchini.
Ahaaa haaa haaa
When the nerve endings of somebody being touched. This is the response. Povu emissions.
CC: https://www.jamiiforums.com/members/janerose-mzalendo.510690/
Kama mumeomba kuiona ndege yetu mpya ili mjifunze jinsi ya kufanya manunuzi ya ndege, vipi mshindwe kuja kuangalia the most modern, sophisticated, full automatic, high speed, high capacity electric SGR?maskini...nani huyo kaja kujifunza sgr hko...bwahahaaaa
Progress is positively moving from one state to another...... IN those six months of 2018 the pretax loss was $40m, and in the previous year 2017 same period, the loss was $57million and before that the loss was $140m ....... Thats the definition of making progress, I expect 2019 the loss to be less than $40m"revenues rose 3 percent to 52.19 billion shillings, but total operating costs rose by 4 percent to 53.22 billion shillings"
These are the facts making any progress in KQ to be fake just like that fake story.
I was wondering as far as I know KQ is no more credit worthy!
Geza what did I tell you! nilikwambia nawapatia miezi sita mtakua mnaleta ndege zenu Nairobi for Maintenance ukanitukana sina akili......... Hata miezi sita haijapita!!!!! Hio Airbus A220-300 ni jina tu lakini ndani bado ni mitambo ni ya Bombardier
mwanzo kuna kibada chengine cha bullet train kimeisha...umekiona...Kama mumeomba kuiona ndege yetu mpya ili mjifunze jinsi ya kufanya manunuzi ya ndege, vipi mshindwe kuja kuangalia the most modern, sophisticated, full automatic, high speed, high capacity electric SGR?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia Train buda, ikimaaanisha njia na locomotives na mabehewa. Kama unataka kuzungumza vituo fungua UZi mpya, Mbona tunapolinganisha KQ na ATCL huingizi airports?, Punguza uzwazwa.mwanzo kuna kibada chengine cha bullet train kimeisha...umekiona...
bwahahaaaa...
hahaaaa...mtu akisema ATCL anamaanisha kampuni...haina uhusiano wowote na kiwanja...kampuni yyte ya ndege inaeza miliki ndege bila kiwanja...lkn bullet train lazima iwe na vituo...haiwezekani mtu mwengine aje na train zake aseme atalipia kodi track na vituo km vile ndege inavyolipa parking fee...Tunazungumzia Train buda, ikimaaanisha njia na locomotives na mabehewa. Kama unataka kuzungumza vituo fungua UZi mpya, Mbona tunapolinganisha KQ na ATCL huingizi airports?, Punguza uzwazwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti Kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Tanzania tunatumia muda mrefu na akili nyingi katika planning stage kuliko katika implantation stage, hii maana yake our programs are demand driven, Kinyume kabisa na Kenya ambayo miradi yenu ni kwa ajili ya political mileage na kutaka sifa za kijinga.hahaaaa...mtu akisema ATCL anamaanisha kampuni...haina uhusiano wowote na kiwanja...kampuni yyte ya ndege inaeza miliki ndege bila kiwanja...lkn bullet train lazima iwe na vituo...haiwezekani mtu mwengine aje na train zake aseme atalipia kodi track na vituo km vile ndege inavyolipa parking fee...
sasa ujuwe tunaposema tanzanian bullet train..lazima vile vibanda viwe ndani ya mada..na si kitambo tu mlikuwa mkisema "vituo vyetu tunaona vitakuwa vizuri kushinda vya kenya"...tu tu tu
kwhyo kila kitu kidogo lazima kiwe ugly na kisiwe modern kw vile ni kidogo...kweli ccm imekulemaza akili.Tofauti Kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba, Tanzania tunatumia muda mrefu na akili nyingi katika planning stage kuliko katika implantation stage, hii maana yake our programs are demand driven, Kinyume kabisa na Kenya ambayo miradi yenu ni kwa ajili ya political mileage na kutaka sifa za kijinga.
Tanzania tunajenga "Biggest and ultra modern Railway Stations in Dar ambayo haipatikani popote pale hapa Africa, hata South Africa hawana, then tunajenga zingine kubwa Dodoma na Mwanza ambazo zitalingana na hiyo ya Mombasa, hizi zingine ndogo ndogo tunajenga kutokana na ukubwa na idadi ya abiria katika eneo husika, hiyo ndio Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema nini?Write your reply...
mafisadi ni hatari kwa afya,yaani hawato cancel orders ambazo hazipo?
Kwanini stations zenu zote hamkujenga sawa na ile ya Mombasa?, Subiri station ya Dar, then uniambie wapi hapa Africa inapatikana kama hiyo.kwhyo kila kitu kidogo lazima kiwe ugly na kisiwe modern kw vile ni kidogo...kweli ccm imekulemaza akili.
kisha unataka serikali ifanye kitu kw ajili ya siasa..hyo haiwezekani...nynyi sera zenu ni kuuwa upinzani na kuweka mbele maslahi ya chama...
heheeee..eti modern..wacha tutulie tu tungoje hyo station modern ya dar.....manake kule pugu na soga hawafai kupata kitu modern...wanaostahili kujengewa ni wanaume wa dar na wale wapaka make-up wenu...lkn watu wa soga na pugu wengi wao ni wachawai hawastahili kuwa na vitu modern...au sio
tupia station yyte hapa ya kenya ambayo si ya kisasa...hta km kitu ni kidogo jaribu kukijenga kw ubora zaidi na mwonekano wa kisasa..Kwanini stations zenu zote hamkujenga sawa na ile ya Mombasa?, Subiri station ya Dar, then uniambie wapi hapa Africa inapatikana kama hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
sijasema kitu..Unasema nini?