KQ to fly 9 PAX btn Nairobi n New york

Status
Not open for further replies.
Soma hapa kidogo....

Tunajua binti kakosea lakin kitendo cha kuchokonolewa mpaka anashindwa kukaa vizurii si kizuri.
Watu wa haki za binadamu kazi yenu nini jamani mbona hatuwasikii ,yaan police panaonekana ni jehanam ukipelekwa kule sio salama.
Kutuaminisha Polisi ni mahali salama wakati hamzingatii ubinadam wa watu.
Binti mpaka anashindwa kukaa, kweli ya nini kumfanyia hivyo wakati video zipo ushahidi unatosha kabisa?
Sio muwasemee tu watu maarufu tu hata hawa wengine ikifika kwenye sheria angalieni mtu katendewa sivyo muongee pia mkemee. Angekuwa mtu maarufu zaidi nadhani kila uzi angeongelea lakin kwa vile binti hana hata uwezo wa kujisimamia mwenyewe basi kila mtu hajali.
Amber Rutty hakutakiwa hata sijui kupimwa makalio yake alitakiwa kupimwa akili yake.
Watoto wa kike wengi wanapitia hiyo hali kama Amber. Angalia hakuna hata mtu mmoja aliyekwenda kuwatolea dhamana ndio ujue binti anapitia mambo gani magumu ya kuishi mwenyewe.
Huwezi jua malezi aliyopitia mpaka sasa yupo hivi; tusimlaumu tu kwa nje hatuwezi jua aliyopitia mpaka yupo hivii.
Ni akili zake ndio zilitakiwa kupimwa binti hayupo sawa kiakili, sasa kuendelea kumuumiza sio vizuri.
Saa nyingine Polisi fanyeni na mambo ya kusaidia jamii sio kuumiza tu,, binadam ana haki zake sio mbwa yule
Yaan mpaka hatembei vizurii

Ni haki kweli???
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kapimwa makalio? Mtoa mada geuza ulaliwe should explain this.
 
kitendo walichomtendea dada yule haki sio kizuri. anashindwa hata kukaa na kutembea kwake ni kwa maumivu sana
Hawa watu ni wanafiki. Wamekuwa hayawani. Kidogo utasikia wakisema ni wakenya walitekeleza hicho kitendo. They are so predictable
 
Hii ni hangover after drunken night. Wakifika January itabidi watoe quarter financial report. Hapo ndio mambo yatakuwa hadharani
 
Hivi kweli direct flight belakuwa na vituo kadhaa to newyork italipaje??
 
Hivi kweli direct flight belakuwa na vituo kadhaa to newyork italipaje??
Wacha waende mswaki kwanza, ndo uanaume! By next year I will be the first to report yearly financial result!
 
Hapa ndio jpm namkubali dreamliner yake inapiga daladala
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…