Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Ndege za mizigo hazijapigwa ban na bado zinaruhusiwa kufanya kazi kimataifa, mwanzo wakati huu wa corona ambapo kila nchi inaagizia vifaa na madawa yanayohitaka kwa haraka, kuna demand kubwa sana ya safari za charterd cargo flights .
KQ inazo ndege ambazo ni spesheli za cargo lakini kwavile ndege zake za abiria zime kosa kazi, inabidi wazitafutie kazi ili angalau kampuni iweze kujistiri na mapato ya ndani (Internal revenue)
Ndege inayopeleka Mizigo ya dawa kutoka Nairobi na kuisafirisha hadi SA leo ilikua ni Dreamliner 787 ambayo iling'olewa viti vyote ili kuwezesha iwe inaweza kubeba mizigo minngi