KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

Mkuu

Mimi takwimu za CCM siziamini hata kidogo...

Siamini CCM hata unichinje kabisa,siamini
 
Mkuu

Mimi takwimu za CCM siziamini hata kidogo...

Siamini CCM hata unichinje kabisa,siamini
Kuamini au kutoamini jambo lolote hapa duniani ni haki ya kila mtu, kama ambavyo watanzania hatuamini GDP ya Kenya na taarifa zao nyingi za kupika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu

Wewe nadhani bado sana,hata huelewi mfumo wa Socialism na Capitalism unavyofanya kazi kabisa,hujui

Kama unakubali Tanzania ipo kwenye Socialism,of which we are,then masikini analishwa na rich class maana wao ndio are working hard to accumulate wealth.

Kama unakubali Kenya ipo kwenye Capitalism,basi unaelewa kabisa kila mtu ni independent kutafuta mali na akipata au akikosa anajijua mwenyewe...Rich class hainyonywi kiivyo ku-feed the poor..

Ulivyo mpumbavu,serikali yako ya hovyo inapotoa ELIMU bure,MATIBABU bure..hizo hela inatoa matakoni?

Ni the rich are taxed heavily to subsidize the poor population....

Usije na hoja ya kipumbavu hapa,eti "KODI ZETU".....masikini hana kodi ya maana anayolipa wewe binadamu!..Machinga analipa kodi ya 10,000/= kwa mwaka halafu anatibiwa na kupata elimu bure ya thamani ya milioni 20 kwa mwaka,hizo hela zinatoka matakoni mwenu?

Na elewa nchi hii,75% ya population ni machinga!Go figure!

Go to class and learn acha upumbavu!
 

Duh! Nikumbushe nisiwahi kujichanganya nikabishana na wewe kwenye hoja maana you're damn brilliant, intelligent, intellectual, blunt and shooting right from the hip.
Huyo uliyemjibu The best 007 kama ataendelea kubisha basi ana matatizo.
 
Yn leo ndo umetoa boko la mwaka na inaonesha ww ni mweupe sn kichwani sema kujifanya ujuaji mwingi na kujifanya uzungu mwisho mnaolewa na wazungu.

Elimu bure ukiacha zama za Nyerere hapa Tz imerudishwa tena juzi tu hapa na H.E president Magufuli tena ni primary to secondary only, kuhusu afya bure hatujafika huko usitupe sifa tusizostahili.

Lkn pia kwnn nimekuita ww ni mweupe na mwepesi sana ni kwasababu umenishangaza kwmb hata hujui kuna capitalist countries nyingi zina offer free education tena co primary to secondary only but they offer free education up to university level na pia wanatoa free health care services.

Huna unachojua ww zaidi ya broken English zako ulizopata kindergarten ndo zinakufanya ujione mjuaji [emoji116][emoji116][emoji116]

Top 10 Countries With Free Healthcare For Everyone Including Students - 2020 Study Abroad Nations
 
Ww mara nyingi huwa sisomi unachoandika cz huna ushawishi na wala hupangilii vzr insha zako so sijasoma ulichoandika.
 
Kuamini au kutoamini jambo lolote hapa duniani ni haki ya kila mtu, kama ambavyo watanzania hatuamini GDP ya Kenya na taarifa zao nyingi za kupika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kenya kuna working media

Kenya kuna working politicians wa upinzani...Yaani kuna upinzani very very powerful..

Kuna bunge kali kama nyuki,ambapo ni death certificate serikali ikigundulika imedanganya on something....Bunge lingeigeuza serikali its breakfast,lunch and dinner on a national television!

Serikali ikidanganya it has all the losses to make uongo ukigundulika!

Sio hapa kwenye,media ni muted

Upinzani ni muted

Bunge ni muted

Mtakatifu anafanya atakalo,ndio maana takwimu zake ni za uongo na very hard to be believable,ni trust issue hapa!

Hakuna dikteta duniani statistics zake zinaaminika,never!
 

Nenda ukaogelee baharini kisha unywe madafu ukizubaa kwa beach, hauna la maana humu.

If Tanzania 26% below poverty was a measure of people living on less than $1.9, na Kenya's 34% were those living below $3.4! Vipi unalinganisha??, so if world bank wangetumia $3.4 to measure umasikini wenu mngekua wapi?., lately tumewapuuza sasa mnadhani eti mko juu yetu, la hasha arguing with clueless individuals inachosha, nikuwatazama na kuwacha numbers and objective statistics speak.
 
Wewe sasa unatutangazia imani yako , Kwan hiyo kenya kwenye mfumo wa capitalism wameingia mwaka huu mpaka uwe na imani masikini wa Kenya atatoka mda wowote? Wakati hiyo capitalism ndio imesababisha Kenya kuwa na masikini wengi zaidi kuliko TANZANIA ingawa TANZANIA ina idadi kubwa ya watu kuliko Kenya . Unaonekana upeo wako wa kufikiri mdoko Kwa kulazimisha kuonesha chuki Kwa TZ ukweli huseme unaongea habari ya kufikilika hapa .
 
Teach this modafuckers.They got stupidity of the highest level it's in their genes😁
 
Umeandika kimipasho sana...kwa makusudi kabisa umeamua kuficha ukweli sijui lengo lako ni nini!
 
Ndo mana nakuambia huwa sisomi unachoandika mana ckuelewagi mkuu, hv unavyodhani Tz kuingia middle Income kichwani kwako inamaanisha nini?

Au unadhani pato la mTz limebaki pale pale, yn wakati wanatafuta data za below poverty line watumie vigezo vya middle Income lkn watumie pato la ldc hv unaakili kweli ww?
 
Mkuu sio TRA tu yani taasisi za Serikali nyingi ziko usingizini hakuna Update wala creativity jaribu kufatilaia tu Sites za Mashirika ya kenya na Tanzania ndio utashangaa yani upande wa Tehama tumelala haswa hii inaletwa na wazee wengi ambao wako outdatd na very static, mheshimiwa Rais ame establish mifumo mizuri sana ya tehama kama GePG na mingineyo ila still watendaji wakuu wa tehama wanamuangusha sana
 
Kama kuna kichaa nchi yenu, wewe unaongoza, upinzani upi Kenya wenye nguvu, NASA, ODM, BBI au Tangatanga?.

Bunge lipi lenye nguvu wakati masenators wakisema kidogo wanavamiwa saa tisa za usiku na maaskari, kila mwanasiasa au mwanaharakati akinyanyua mdomo kuisema serikali na viongozi wake anatishiwa kuuliwa au anauliwa, umesahau yaliyowakuta Jacob Jumwa na yule mchungaji kule Migori aliyekuwa akimpinga Uhuru Kenyatta hadharani walivyouliwa kinyama?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…