kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Ahaa! Inasemekana!Inasemekana ...
Ukiona unatapatapa bila ya kutulia jua kuna kitu kinakusumbua.Mimba itatoka tu au utazaa.Vuta subira.
Wanga FC, wapo kaziniInasemekana Aubin Kramo ameuomba uongozi wa klabu ya Simba wamruhusu aondoke kwenye klabu hiyo arudi kwao au wamtoe kwa mkopo kwa sababu kuna mambo hayaelewi kwenye timu hiyo, kila inapofika siku ya mechi anajikuta anaumwa alafu mechi ikiisha anakuwa sawa".
View attachment 2729558
Mwaka huu msichome tenaHao ni yanga true vile vile wanapenda ushirikina balaa
Hapa ndo umeandika nini?utopolo bwanaWamechelewa.
Wanafanya Hivi Baada ya KUONA MAKOSA Yao mengi kwenye USAJILI.
HAPO WANATAFUTA Beki na
Kiungo mkabaji.
Tuliwaahauri wamfanyie Robing Bangala Angeweza kucheza pote 5,6.
Simba wanatia Huruma.
Tena wamekiwasha na timu kali za Djiboutwenzake akina Pacome, wanakiwasha kila mechi!! Halafu yeye yuko busy kupambana na misumari.
Simba hii iliyopora ngao ya jamiiWamechelewa.
Wanafanya Hivi Baada ya KUONA MAKOSA Yao mengi kwenye USAJILI.
HAPO WANATAFUTA Beki na
Kiungo mkabaji.
Tuliwaahauri wamfanyie Robing Bangala Angeweza kucheza pote 5,6.
Simba wanatia Huruma.