Celta Vigo chini ya kocha mu Argentina Eduardo "Toto" Berizzo alikuwa msaidizi wa Marcelo Bielsa El locco kwa miaka kibao ,
Falsafa ya Bielsa ya high pressing kairithi vilivyo
4-3-3 ya celta Vigo kati mkongwe Pablo Hernandez ,dani wass ikitokea faul hesabu goli na Radoja
Wanakukabia juu na high pressing ya maana ,ndio falsafa ya Berizzo
Kipindi cha pili ataingia winga machachali Bongonda na ndiye atawanyoa vizuri Genk
Berizzo tactician ,naamini Leo watasonga mbele ..
Celta mpaka fainali ,timu inayovutia kuitizama
Ah kombe linabaki spain