Kreni zote zimeharibika Bandarini

Yeah, maybe zitakuwa zimeharibika kwa kuwa hazikuwa zinapumzishwa; zilifanya kazi usiku na mchana !!!

wewe wacha uongo huku ulaya crane zinafanya kazi masaa 24 miaka nenda rudi na haziaribiki mpaka baada ya muda mrefu...
wanazitumia mpaka wanaamua kubadilisha for safety reasons...
uwo utakuwa mshipa walinunua.....
 
kumbe TPA wanavifaa na TICTS hawana
kwa nini tenda isingekuwa ya TPA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…