Kricket sielewi kabisa....

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Nasikiaga tu wicket, mara run...
Pia naonaga mtu akirusha tenis mwingine anaudaka mwingine anakimbia yaani sielewi kabisa. Afu mashabiki kibao.

Mwenye uelewa anisaidie
 
Nasikiaga tu wicket, mara run...
Pia naonaga mtu akirusha tenis mwingine anaudaka mwingine anakimbia yaani sielewi kabisa. Afu mashabiki kibao.

Mwenye uelewa anisaidie
Mkuu Ziro, hii inahusika kwa namna yoyote na Afya?? Nadhani ulipaswa kupeleka Uzi huu Kule kwenye Michezo...
 
Hili sio jukwaa la cricket jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…