yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,668
- 1,017
Mficha maradhi kifo umuumbua. Tar. 25 dec kwangu imekuwa ya majanga baada ya kuchepuka na mchepuko huo kuniachia maradhi na niliamua kuchepuka baada ya mwandani wangu kwenda kula xmass kwao.
So jana nilihisi maumivu kidogo kwenye maungo yangu wakati nakojoa nikapuuzia lakini leo naona hii hali iko siriaz kila nikienda haja ndogo nasikia maumivu makali kwa ndani.
Najua humu ndani kuna wataalam wa masuala haya na ni maumivu tu wala hakuna usaa na labda naisi kichocho tu.
Nitashukuru sana kama ushauri utaendana (tiba) ni aina ipi ya dawa ya kutumia na itachukua mda gani? hofu ni kwa mpendwa wangu akinikuta ktk hali hii nategemea kujumuika pamoja siku ya mwaka mpya.
NATANGULIZA SHUKRANI KWA USHAURI WENYE TIJA