Krismas imeniachia ugonjwa wa zinaa

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,668
Reaction score
1,017
Mficha maradhi kifo umuumbua. Tar. 25 dec kwangu imekuwa ya majanga baada ya kuchepuka na mchepuko huo kuniachia maradhi na niliamua kuchepuka baada ya mwandani wangu kwenda kula xmass kwao.
So jana nilihisi maumivu kidogo kwenye maungo yangu wakati nakojoa nikapuuzia lakini leo naona hii hali iko siriaz kila nikienda haja ndogo nasikia maumivu makali kwa ndani.
Najua humu ndani kuna wataalam wa masuala haya na ni maumivu tu wala hakuna usaa na labda naisi kichocho tu.
Nitashukuru sana kama ushauri utaendana (tiba) ni aina ipi ya dawa ya kutumia na itachukua mda gani? hofu ni kwa mpendwa wangu akinikuta ktk hali hii nategemea kujumuika pamoja siku ya mwaka mpya.
NATANGULIZA SHUKRANI KWA USHAURI WENYE TIJA
 
Hongera kwa kusubiri kilikimasi ndio uchepuke
 

NYIE VIJANA HUWA HAMSIKII. UNECHEPUKAJE BILA KONDOM?? PUMBAFF SANA WEWE. NAKUSHAURI TUMIA AMPICILLIN ILA UENDE NA ANGAZA WAKUPIME UKIMWI KWANI SIKU IZI MWENYE VIRUSI ANAYETUMIA ARV HUWEZI KUMHOFIA KWA LOLOTE.
ILA POLE SANAa
 
nitashukuru kwa ushauri mzuri
 
Chief Pole Sana...Kama Ni Kweli! Bora Uwahi Hospitali Kwa Uangalizi Zaidi...Unajichoresha Bure Hapa Jf
Ahsante Jigo
 
duh!! we kweli noma inaonekana unajua ugonjwa ulioupata ndio maana ukakimbilia kusema usaa haukutoki
 
Ugonjwa kwa wanaume huchelewa kujitokeza. Hatua ulizotaja huchukua muda kujionesha. Sidhani km thread hii ni valid.
 
na ukichepuka mwaka mpya utaachiwa UKIMWI
sikutishi ila ndio ukweli
 
Usisikitike sana maana hata wenzako fulani hulewa sikukuu tu.Hongera mkuu kwa matatizo!:glasses-nerdy:
 
Ndio madhara ya kuoa wachaga xmass wanakuacha na kwenda kwao...... Je ungemuoa Mtanga angeondoka? Ok kdungwe powe safe chaap unapona
 
Mh ugonjwa wa zinaa dalili kuonekana siku moja sidhani,labda ulikuwa nao siku nyingi. Cha muhimu nenda kamuone daktari ndugu. Cha muhimu zaidi mjulishe mkeo mkapime wote. Pia yawezekana wewe ndiye uliyemuambukiza mchepuko ugonjwa. Kifimbo Cheza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…