Krismas imeniachia ugonjwa wa zinaa

NYIE VIJANA HUWA HAMSIKII. UNECHEPUKAJE BILA KONDOM?? PUMBAFF SANA WEWE. NAKUSHAURI TUMIA AMPICILLIN ILA UENDE NA ANGAZA WAKUPIME UKIMWI KWANI SIKU IZI MWENYE VIRUSI ANAYETUMIA ARV HUWEZI KUMHOFIA KWA LOLOTE.
ILA POLE SANAa

ahsante kasharobana japo ushauri wako umeambatanisha na matusi, sikuwa mjinga mpaka nisitumie condom. Condom nilitumia tatizo nilidribo kichwa kwenye k..sim wakati wa romance .
 
ahsante kasharobana japo ushauri wako umeambatanisha na matusi, sikuwa mjinga mpaka nisitumie condom. Condom nilitumia tatizo nilidribo kichwa kwenye k..sim wakati wa romance .

Hahaaaaa hilo simi litakuwa na vimelea..yaani ku drib tu linakuachia -----
 
Hizo ni dalili za tezi dume
 
Chief Pole Sana...Kama Ni Kweli! Bora Uwahi Hospitali Kwa Uangalizi Zaidi...Unajichoresha Bure Hapa Jf
Ahsante Jigo

nimeambiwa nitumie ampiciline nataka nimtume mtoto aende barabara ya nane akan'nunulie. Magonjwa mengine aibu unashindwa hata kujielezea na madokta wetu hawa wa udaku
@jigo
 
Una maana ndomu ilibasti ? Au Mhe. Ulikua unajitafunia finyango kwa finyango kaa'mkeo !
 
Kapime HIV

Qur'an 17:32. Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya. ***
 
Una maana ndomu ilibasti ? Au Mhe. Ulikua unajitafunia finyango kwa finyango kaa'mkeo !

lazima usugue sugue rungu upate utelezo kisha uvae condom ndo uzamishe tatizo mnapalamia tu
 
Hakuna ugonjwa wa zinaa unaoweza kuleta madhara ndani ya siku 2..itakua ishu nyingine tu sema kwa kuwa imeambatana na uchepukaji ndo hofu yote hiyoo..nenda hospitali
 
Hakuna ugonjwa wa zinaa unaoweza kuleta madhara ndani ya siku 2..itakua ishu nyingine tu sema kwa kuwa imeambatana na uchepukaji ndo hofu yote hiyoo..nenda hospitali

kuna ukweli katika hili yaani nimekua mtu wa kujishtukia sana na kondom nilitumia mkuu
ngoja niendelee kujisikilizia
 
Peleka uongo wako huko. Yaani hata mwendawazimu hawezi kukubaliana na wewe. Yani umeambukizwa maradhi hata siku haijaisha tayari umeshaona dalili? Kadanganye walevi wenzio mnaokunywa gongo pamoja.
 
Rest In Peace....mkuu mwanga wa milele na ukuangazie huko uendako......Amen..
 
Merry xmas to uu tena...ukipona mwakan xmas nyingine jtahidi upate ule ugonjwa wa maaana....a.k.a h.i.v
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…