hata wenye akili za kuvukia barabara mpo!!
Hakuna ugonjwa wa zinaa unaoweza kuleta madhara ndani ya siku 2..itakua ishu nyingine tu sema kwa kuwa imeambatana na uchepukaji ndo hofu yote hiyoo..nenda hospitali
inawezekana mkuu ugonjwa wa zinaa kwa mwanaume ndani ya siku mbili au tatu tayari ushaonekana sababu miili yenu hasa maumbile yanawahi kureact kama kuna kitu hakiko sawa ila mwanamke anaweza kaa hata mwaka ndo akaona dalili ndo mana wanaume wanajitibia mapema ila mwanamke mpk kujua ishamtafuna sana ndani!
Nunua pilupili mbuzi Nusu kilo saga kisha loweka uume Wako Kwa dakika 25 na sekunde 40
Ugonjwa kwa wanaume huchelewa kujitokeza. Hatua ulizotaja huchukua muda kujionesha. Sidhani km thread hii ni valid.

Pole Kifimboplayer nenda kwanza hospitali huko ndo utapata majibu ya uhakika,humu utarushwa roho buree!
Ugonjwa kwa wanaume huchelewa kujitokeza. Hatua ulizotaja huchukua muda kujionesha. Sidhani km thread hii ni valid.
asante wabara mpaka dakika hii dalili zote zimeonekana nafikiri tu ni namna gani nipate tiba
Ugonjwa kwa wanaume huchelewa kujitokeza. Hatua ulizotaja huchukua muda kujionesha. Sidhani km thread hii ni valid.
Mh ugonjwa wa zinaa dalili kuonekana siku moja sidhani,labda ulikuwa nao siku nyingi. Cha muhimu nenda kamuone daktari ndugu. Cha muhimu zaidi mjulishe mkeo mkapime wote. Pia yawezekana wewe ndiye uliyemuambukiza mchepuko ugonjwa. Kifimbo Cheza
Poleni sana Vijana, ila kaa mkijua GONO alikoposhi hata 24rhs haifiki USAA LAZIMA UMWAGIKE.
Ugonjwa kwa wanaume huchelewa kujitokeza. Hatua ulizotaja huchukua muda kujionesha. Sidhani km thread hii ni valid.
Mh ugonjwa wa zinaa dalili kuonekana siku moja sidhani,labda ulikuwa nao siku nyingi. Cha muhimu nenda kamuone daktari ndugu. Cha muhimu zaidi mjulishe mkeo mkapime wote. Pia yawezekana wewe ndiye uliyemuambukiza mchepuko ugonjwa. Kifimbo Cheza
mkuu nilichojifunza kwa hili ni kuwa watu wamekariri ugonjwa gono ni kaswende na kisonono kumbe yapo mengi (pangusa, malengelenge nk) na inatagemeana na jinsia ndio maana wanashauri wewe na mwenza wako wote mpate tiba kwani kwa jinsia ya kike tu huwachukua mda mrefu zaidi kuliko mwanaume