Krismas na Mwaka mpya vinawadia: Misururi ya migari ya kifahari kwenda Kaskazini (Uchagani ) Toka Dar balaa.

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,153
Reaction score
3,800
Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na mwisho wa Mwaka?
Hoteli za njiani maeneo ya Korogwe hadi Mazinde zimefurika .
 
Hujaziona gari zinazokwenda Makete wewe!!!

Niko makambako yaani misafara ya wakinga na ndinga zao siyo ya kitoto!
 
Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na mwisho wa Mwaka?
Hoteli za njiani maeneo ya Korogwe hadi Mazinde zimefurika .
We msambaa ulishindwaje kupiga picha misusuru? Au ulikua na mganga?
 
mnataka kwenye mitandao tuwaone nanyinyi mpo duniani mnajitangaza kwa nguvu ukimaliza wewe anakuja mwingine anaposti eti jamani kuna foleni yanaelekea moshi ili tu tuwashobekeeni kwendeni zenu washamba nyinyi na bahati nchi haijatawaliwa na mchaga tungesha kwa umaskini
 
Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na mwisho wa Mwaka?
Hoteli za njiani maeneo ya Korogwe hadi Mazinde zimefurika .
Wangese tu hao
 
mnataka kwenye mitandao tuwaone nanyinyi mpo duniani mnajitangaza kwa nguvu ukimaliza wewe anakuja mwingine anaposti eti jamani kuna foleni yanaelekea moshi ili tu tuwashobekeeni kwendeni zenu washamba nyinyi na bahati nchi haijatawaliwa na mchaga tungesha kwa umaskini
Ukishoboka au ukikaa kimya haina uhusiano na thread hii. Hujakatazwa kupost kwenye hii forum unachoona ni habari. Hata kule Serengeti kuna Nyumbu wanaripotiwa wanasafiri kwa misimu kwenda Kenya na Kurudi Tanzania, kwa mwenye akili timamu atataka kujua kwa nini,na siyo kuuliza kabila la hao Nyumbu.
 
Back
Top Bottom