Krismass ndo hiyoooo, mmu naombeni mwaliko

mitishamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
697
Reaction score
111
Jamani mimi ni mwana mmu mwenzenu. Xmass mpango mzima ukoje?
 
mpango mzima kuchangia waliopata mafuriko kule jangwani jaman,unawezaje kusheherekea wakati wenzetu wanalia,wanalala nje,ni mtazamo
 
mpango mzima kuchangia waliopata mafuriko kule jangwani jaman,unawezaje kusheherekea wakati wenzetu wanalia,wanalala nje,ni mtazamo

Jeneral mwenye shibe hamjui mwenye njaa!
 
we umesaidia wangapi? mnapenda sana kuongea kwenye keyboard na kujipa masifa yasiyo stahiki.
 
nahitaji wa kike kuchangia kwa wingi sana humu
 
mpango mzima kuchangia waliopata mafuriko kule jangwani jaman,unawezaje kusheherekea wakati wenzetu wanalia,wanalala nje,ni mtazamo

Mbona haijtangazwa kuwa ni janga maana ingetangazwa ndo tusingesherekea. Nitarudi baadae
 
karibu kwangu kuna matimba, mkangaru na somba, bila kusahau ulanzi wa kutosha, ushindwe wewe tu...
 
njoo kwangu kula kunywa mpaka kusaza ila utakubali nikufanye nitakacho mm na sehemu yoyote nitakayo mm upo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…