Krzysztof Piątek : Mrithi halisi wa Lewandowski

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,490
Reaction score
7,422
Dogo kazaliwa mwaka 1995 tu,yupo Genoa sasa hivi akitokea Cracovia Krakow akiwa katupia goli 32 katika mechi 63. Msimu huu yupo Genoa ambapo mpaka sasa kashatupia goli 9 katika mechi kumi na ndio top scorer currently wa serie A

Dogo nambashiri kama pottential World top class striker ajaye kama sio muda huu. Nitafurahi sana kama Jurgen Klopp atatuletea kijana huyu pale Anfield
 
Mm sio mfatiliaji wa seriaA so wala simjui huo dogo mung amtangulie tu asikutan na majini ya akina mess na Ronaldo
 
Tushajua wew ni mshabiki wa Liverpool, ahsante.
 
Mm sio mfatiliaji wa seriaA so wala simjui huo dogo mung amtangulie tu asikutan na majini ya akina mess na Ronaldo

Dogo anacheza namba 9 wakati Messi na Ronaldo ni wide forwards wote. Competition ataipata kwenye magoli na hao wawili labda
 
Sasa mbona sijaona uhusiano wa huyo dogo na lewandowski?
Mbona wanacheza vilabu tofauti?
 
Mm sio mfatiliaji wa seriaA so wala simjui huo dogo mung amtangulie tu asikutan na majini ya akina mess na Ronaldo
ameshakutana nao,yupo nyuma ya Ronaldo
 
Dogo amechukua uamuzi sahihi kutimkia MIlan, Japo kuwa ningelipendelea zaidi kama angelimalizia msimu ndani ya Genoa. Nafasi yake ya kushinda kiatu cha ufungaji bora inaweza ikawa finyu pale Milan kwa msimu huu. Mana kutokana na condition ya MiIan hivi sasa nayeye pia atahitaji mda wa kuzoea mfumo inaweza kuzorotesha ufungaji wake kwa msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…