Ksh. 380 Billion Naivasha-kisumu sgr

kirk git

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
591
Reaction score
677
The government is set to sign a Sh380 billion deal with China for the financing of the Phase 2B of the Standard Gauge Railway.

Transport Cabinet Secretary James Macharia on Friday announced that the deal will be inked between September 1-4 in China.

Kenya, China to sign Sh380bn deal for Kisumu SGR
 
Add 380 for kisumu malaba.

830+380 = ksh. 1.2 trillion
 
Hehe_ KQ naskia inatembeza hasara tu huko[emoji23] Dreamliner imetua Mwanza na kikosi cha Dunia Leo hii.View attachment 839173
Hata kama imetua na Simba leo..
Ukweli utabaki palepale kwamba hiyo ndege ni mtumba..mbovu..
Na juzi na jana haikuruka ilikuwa Mwanza mbovu..abiria waliokuwa wasafiri nayo walihamishiwa kwenye FastJet na Bombardier.
 
Hata kama imetua na Simba leo..
Ukweli utabaki palepale kwamba hiyo ndege ni mtumba..mbovu..
Na juzi na jana haikuruka ilikuwa Mwanza mbovu..abiria waliokuwa wasafiri nayo walihamishiwa kwenye FastJet na Bombardier.
Kwani ndege haifai kufanywa repairs? ndege sio gari bwana eti unaweza ignore hitilafu fulani...Ndege hata kama ni mpya iwe na shida hata kama ni ndogo aje lazima irekebishwe kwanza kabla ya kuruka..Safety First is the rule in aircraft business..
Lakini hayo mafikra yako kwamba ndege mpya haifai kuwa na hitilafu ni pedestrian thinking..
 
Chattle inernationale de airpotile iz going to be ze festle big end mordenile in east end centrale no matterle jiwerle has kanyagale katibale.🤣🤣🤣🤣
 
Chattle inernationale de airpotile iz going to be ze festle big end mordenile in east end centrale no matterle jiwerle has kanyagale katibale.🤣🤣🤣🤣
Wewe ni ng'ombe ya kutoka wapi? Hii ni upuzi gani unaandika hapa?
 
Hongera sana, hapo Mwanza, Kagera na ukanda wote wa Tanzania kaskazini tumeutia mfukoni, yaani tunatia kambi Kampala ndani ya miezi michache ijayo, chini ya mwaka mmoja, mna bahati mimi sio rais wa nchi hii maana hiki kitu ningehakikisha kinafika Malaba border ndani ya mwaka huu, hata kwa viboko na ngumi, huwa sina uvumilivu wala subira, hapa tayari nahisi hasira nikiwaza kwamba mwaka huu utaisha bila ya kuwapokeza Rwanda, DRC na Sudan mizigo kwa reli.
Pia kipande kingine kijengwe cha kupeleka Arusha na Kilimanjaro maana kwa sasa mikoa hiyo ya Tanzania ambayo huzalisha sana tushaitia kwapani kwa sababu mawazo ya uongozi wa Tanzania yote bado yapo kule Dar.

Inafaa watu wakeshe humo kila siku hadi kieleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…