Hilo tabasamu la huyo dada mwenye bashasha wa kwanza kushoto zinaweza kukufanya mwenyewe uingie benki kutoa ka milioni kako ka mkopo wa kujengea ka kibanda na kumkabidhi yeye bila hata kukuomba angalau lau upate nafasi ya kufikiriwa kupewa nafasi ya .......................