sehemu za kusajili line ndugu yangu, yaani tigo we acha tu ni kero kweli kweli, sasa imekuwa issue, yaani inatakiwa ufunge safari ya siku nzima kwa ajili kusajili tigo tu, kama ni kazini omba ruhusa ya siku mbili nzima maana siku ya kwanza ni ya kusajili na siku ya pili ni ya kupumzika ile kashi kashi unayoipata, ya kugombania foleni, na kusimama kwenye jua kali siku nzima.Unalalamimika nini haswa?
Nini kinacho kukelekekata mkuu? Hivyo ni vibanda vya vocha au nn?
Kama kuna mtumishi yeyote wa tigo humu JF ni vyema awe makini na sentensi hiyo hapo juu yenye bold na underline, vinginevyo watafulia kweli kweli maana watakaosajiliwa ni wachache,Vyabure vinamambo sana kaka, we acha tu...! Ngoja tusake mahela tuingie mitandao ya ukweli you pay much and get much. Sio kunyanyasika kisa wako cheap.
???????????!!!!Sijui ni kujiamini sana kwa kuwa na wateja wengi, sijui ni dharau, mtanisaidia,
Angalia, wanafungua saa 4 asb hasa mbagala, wakati wenzao saa moja,
vibanda viko vichache, barabara ya kilwa wako rangi tatu tu, barabara ya morogoro kuanzia ubungo viko vibanda vitatu tu, na cha mwisho kiko magomeni usarama kingine kiko mnazi mmoja.
yaani ni kero tupu na ukienda wale vijana hawana speed kabisa,
nashauri waongeze zaidi vibanda, km Muhimbili hakuna tigo, na sehemu nyingine kwenye mlundikano wa watu hakuna tigo ila zain wako kila sehemu.
..una ugomvi na "r" au "l"...usarama ni kiswahili??haujaeleweka
...one is "usarama" and the other "kukeleketa". What a swap!..una ugomvi na "r" au "l"...usarama ni kiswahili??
sehemu za kusajili line ndugu yangu, yaani tigo we acha tu ni kero kweli kweli, sasa imekuwa issue, yaani inatakiwa ufunge safari ya siku nzima kwa ajili kusajili tigo tu, kama ni kazini omba ruhusa ya siku mbili nzima maana siku ya kwanza ni ya kusajili na siku ya pili ni ya kupumzika ile kashi kashi unayoipata, ya kugombania foleni, na kusimama kwenye jua kali siku nzima.
Suala sio hilo ila ni kwa nini voda, zain na zantel wameweka mawakala wengi kila kona ila wao hakuna, unafanya kuulizia tu wanakopatikana, na wakati mwingine unatoa pesa ili uelekezwe waliko,Unajua nashindwa kuelewa kwa nini muanze walalamikia tiGO muda huu wakati mlikuwa na muda wote wa kufanya usajili wa simu zenu kutoka July 2009 mpaka Desemba 2009 sasa inapokaribia mwisho ndio mnakaa na kulalamika. Nadhani mlitakiwa kujilaumu kwa kuchelewa kujisajili!
ninyi waswahili mnapenda sana ku-front load mambo.hizi line walianza kusajili kabla ya mwezi wa sita.hadi leo mmekaa tu.mnajisababishia foleni bure finally mnalaumu!sehemu za kusajili line ndugu yangu, yaani tigo we acha tu ni kero kweli kweli, sasa imekuwa issue, yaani inatakiwa ufunge safari ya siku nzima kwa ajili kusajili tigo tu, kama ni kazini omba ruhusa ya siku mbili nzima maana siku ya kwanza ni ya kusajili na siku ya pili ni ya kupumzika ile kashi kashi unayoipata, ya kugombania foleni, na kusimama kwenye jua kali siku nzima.
Leo nimeanza safari ya kusajiri line yangu, nimeanzia mnazi mmoja, foleni kali sana, nikaenda magomeni usarama hapo ndo usiseme, kiguu na njia hadi mwembe chai, nyomi kibao, sikukata tamaa hadi ubungo ukipita kwenye mataa unapinda kama unaenda chuo kikuu, na hapo watu wengi sana,
Kaitaba usipoangalia utafika Morogoro