Fans wa music mtakuwa mmeona diff. categories za tuzo za kili pa1 na nomineez je unadhani wasanii au msanii gani hakutendewa haki kwa kutowekwa,au maoni yako ni yapi?
wap diamond kwenye tuzo za Kilimanjaro music award yuko kwenye categories 2 basi ommy dii. yuko categories 6. ii inamaansha nn coz he always rock n ktm awrdd