Vijimambo: Mbunge wa Tanzania awavunja wengi mbavu bungeni
Anahoji misingi ya kuharamishi mairungi na bangi. naona kama yupo sahihi kwani serikali zetu haziwezi kutoa utafiti waliojikita katika shughuli ya kaharamisha mimea hii!!! Anadai wenzake wabunge wa Tz wanatumia hizi bidhaa kama kawa tu........