municaster Member Joined Oct 17, 2022 Posts 7 Reaction score 4 May 3, 2024 #1 Wakuu uwezekano wa ku bypass iphone 13 upo? Inawezekana na kama inawezekana ni kama vile tunavyofanya zile nyingine?
Wakuu uwezekano wa ku bypass iphone 13 upo? Inawezekana na kama inawezekana ni kama vile tunavyofanya zile nyingine?
Abdclassic Member Joined Jul 13, 2017 Posts 88 Reaction score 38 May 6, 2024 #2 Inawezekana ila ikiwa imefika Ios 17 inasumbua kidogo
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 May 7, 2024 #3 Abdclassic said: Inawezekana ila ikiwa imefika Ios 17 inasumbua kidogo Click to expand... Sio tu huwa inasumbua kuna vitu hutoweza kufanya
Abdclassic said: Inawezekana ila ikiwa imefika Ios 17 inasumbua kidogo Click to expand... Sio tu huwa inasumbua kuna vitu hutoweza kufanya
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 May 8, 2024 #4 Jambo unaloweza kuhakikishiwa kuhusu bypass iphone kutoka kwa mafundi,ni iphones ambazo zimeishia IOS 14 kushuka,juu ya hapo inategemea aina ya simu na update. Kwa 13 ninachoweza kukwambia ni kama haiwezekani.
Jambo unaloweza kuhakikishiwa kuhusu bypass iphone kutoka kwa mafundi,ni iphones ambazo zimeishia IOS 14 kushuka,juu ya hapo inategemea aina ya simu na update. Kwa 13 ninachoweza kukwambia ni kama haiwezekani.