Ku clear mzingo from abroad

Ku clear mzingo from abroad

Jalala

Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
47
Reaction score
18
Natamani kufanya biashara ya kusafiri na kuleta mzigo from UK kama viatu na nguo, naomba msaada wa jinsi ya ku clear kwa njia rahisi ili niweze kupata faida.
 
Natamani kufanya biashara ya kusafiri na kuleta mzigo from UK kama viatu na nguo, naomba msaada wa jinsi ya ku clear kwa njia rahisi ili niweze kupata faida.

Lazima utumie clearing & fwding agent. Hapo issue ni jinsi ya kupata estimation nzuri ya gharama za kuuingiza mzigo kutegemeana na thamani, tax status ya kampuni au mwingizaji etc. Kama uko serious ni-pm ntakupa namba ya agent anayenisaidia mimi. Huyu jamaa pia alipata shida sana kuingiza mizigo yake akaamua kuwa agent mbali na shunguli zake nyingine.
 
Back
Top Bottom