Ku-doctor Matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Sita

Ku-doctor Matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Sita

Ruge Opinion

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2006
Posts
1,838
Reaction score
705
WanaJF, kuna mtu amenidokeza kuwa kuna mchezo wa ku-doctor matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na sita ili shule za serikali nazo zionekane zinafanya vizuri. Nimeambiwa katika mkoa fulani baadhi ya shule za binafsi zilikataa matokeo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani na uhakiki ulipofanywa ikakutwa grades zilizoko kwenye script papers ni tofauti na zilizotangwa.:sick: Je, kuna mtu ana taarifa zaidi kuhusu hilo atuelimishe zaidi?
 
Back
Top Bottom