Haihusiani.Habari za wakati huu…
Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye kipengele chetu najaribu kuapply inasema failed,
Ni social work haiusiani na community development au kuna mahala nakosea??!
Anhaa social work haihusiani na community development??!Haihusiani.
Anhaa sawaa apo nimeelewa kwamba wanataka community development tuWengi tu limewatokea hilo. Hata waliosoma Community Development kama minor Ajira Portal inawakatalia. Naona wanataka watu wa Community Development kama major tu ndiyo waombe. Au labda system yenyewe ina matatizo sijui.
Yes.Anhaa social work haihusiani na community development??!