Mimi si mzuri kwenye matumizi ya hizi gadgets nk. Nina modem na inafanya vizuri tu, nimeambiwa inaweza kutumiwa (internet) na device nyingine wakati natumia kwenye PC yangu. Naomba kuelekezwa settings zake ili niweze kuwaunganisha na wengine.
Modem nilinunua dukani imeandikwa wireless 4g USB Modem (HSPA).