Ku-Nukuu

Ku-Nukuu

Namtih58

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
234
Reaction score
46
I apologize in advance if this is no the right forum for this topic. Perhaps if the mod agrees with me, it can be replicated to other forums.

Nigependa kuwaomba wana-JF Ikiwa ni lazima kunukuu, jamani tusinukuu posting nzima over and over, ina tulazimisha kuscroll kila wakati, halafu ukija kugundua mtu anaongelea kisehemu kidogo tu.

Afadhali kunukuu kisehemu unacho ongelea, mtu akitaka atarudi mwenyewe kusoma original article, lakini watu wawili/watatu waki quote post kubwa on the same page ya same thread inakuwa hata haivutii tena.

Ni maoni yangu tu. Ahsanteni.
 
kweli sometime una scroll mpaka kidole kinauma!
 
labda tuombe software za kusamarise hizo nukuu!
 
Ni kweli, nami nakubaliana nawe. Nukuu inaporudiarudia inakifu. (Nimeogopa kunukuu hiyo post yako yote Mkuu Namtih58, ila nilikuwa nataka ku-comment namna ulivyoanza na viingereza vya nguvu baadae viswahili mwanana, ili mradi burudani). Ni katika ku-talk openly! Idumu JF!
 
Back
Top Bottom