Ku-resume mkopo bodi ya mikopo

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Habar wakuu mm niliahirisha masomo mwaka jana pale SUA kwa mwaka mmoja na sasa nataka kurudi tena sasa naomba kufahamishwa utaratibu wa ku resume mkopo wangu pale ninaporudi mwezi wa kumi nilipata mkopo kwa asilimia mia nilikuwa nasoma vet medicine.
Natanguliza shukrani wadau.
 
Kijana hilo linawezekana.. Tembelea tovuti yao ili upate maelezo zaidi au nenda physically ukajieleze, kwenye ofisi zao

Itakuwa rahisi kupata kwakuwa ulishawahi kuwa allocated..
 
Kijana hilo linawezekana.. Tembelea tovuti yao ili upate maelezo zaidi au nenda physically ukajieleze, kwenye ofisi zao

Itakuwa rahisi kupata kwakuwa ulishawahi kuwa allocated..

poa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…