Ukwelimtupu
Member
- Nov 21, 2011
- 36
- 13
Je wajua ku socialize kazini ni muhimu sana kwa afya yako wewe mfanyakazi? Ku-socialize kazini na wafanyakazi wenzako kunakuondolea stress kwa kuufanya ubongo wako kuchangamka.
Hivyo wale wenye tabia ya kukaa kimya kazini na kuagiza lunch na kulia mezani au ofisini kwako inabidi WABADILIKE.
Nawatakieni Ijumaa Karim!
Hivyo wale wenye tabia ya kukaa kimya kazini na kuagiza lunch na kulia mezani au ofisini kwako inabidi WABADILIKE.
Nawatakieni Ijumaa Karim!