Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Aisee bank wezi sana. Mwezi wa 7 nlikopa CRDB milion 20 kwa mkopo wa miezi 36 ambapo kuna riba ya 4 miln.
Nikaenda kufanya ujenzi Mwanza. Sasa bana nikapata dharura inayohitaji hela kama 3 miln, nikataka kutop up.
Aisee nilitakiwa kurudisha 7 Milions maana riba ni milion 4+ nikauliza afsaa wa bank huu wizi nikaondoka.
Sasa walimu wanatop up kila mwaka.