Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Hata mimi sijamuelewaNyoosha maelezo riba ya mkopo wa 20 millions ilikua milioni 4 ukaja Tena kuomba milioni 3 ikatakiwa urudishe 7 millions Kama sehem ya riba au?
Hata yeye hakuelewa!Hata mm sijamuelewa
Tunapohisi!!! Tunakopa kwa hisia [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji22][emoji22]View attachment 2486912
[emoji3][emoji1]
Mkopo 20M = riba 4MNyoosha maelezo riba ya mkopo wa 20 millions ilikua milioni 4 ukaja Tena kuomba milioni 3 ikatakiwa urudishe 7 millions Kama sehem ya riba au?
Alitaka tu kuwasema walimu.Nyoosha maelezo riba ya mkopo wa 20 millions ilikua milioni 4 ukaja Tena kuomba milioni 3 ikatakiwa urudishe 7 millions Kama sehem ya riba au?
Crdb riba ni 13%Mkopo 20M = riba 4M
akatop-up 3M, Jumla ya mkopo wote ikawa 23M
Therefore;
Mkopo 23M = riba 7M
Wezi sana.
Sio rahisi hivyo huwezi chukua ti 2.6 per year ukazidisha kwa 3yrs. Riba zao ni reducing balance huwezi kupiga hivyo.Crdb riba ni 13%
Kwa 20m,riba kwa mwaka round m2.6 ambapo kwa miaka mitatu riba inakuja round m7.8
Mkuu kuna kauongo kwenye story yako,we sema tu unataka kuwasema walimu
Hata iwe reducing haiwezi fika 4m,lazima m7 ifike,tena itacheza 7.4+Sio rahisi hivyo huwezi chukua ti 2.6 per year ukazidisha kwa 3yrs. Riba zao ni reducing balance huwezi kupiga hivyo.