Ku-transfer chuo na kozi yake TCU

Ku-transfer chuo na kozi yake TCU

David franco

Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
27
Reaction score
3
Jamaan naomben msaada kwa maana mimi niliapply 2 round ya chuo mwaka huu ila kulikuwa na program za hovyo ikanibid ni apply hivyo hivyo ila shida yang ni jinsi ya kutransfer chuo na fakati yake
 
inawezekana kabisa ila nafikiri ktk kuhama kikozi inabidi uwahi chuo ufanye usajili kwanza ila kuhama kichuo na coz utapata tabu sana.haswa ktk mkopo inachukua mpaka semister nzima kuupata na zaid ya yote usijaribu kwa ardhi mana kuna director pale anafata protocor vibaya sana.sisi kaka zenu yalitukuta haya tukaishi maisha magumu saaaana
 
Back
Top Bottom