inawezekana kabisa ila nafikiri ktk kuhama kikozi inabidi uwahi chuo ufanye usajili kwanza ila kuhama kichuo na coz utapata tabu sana.haswa ktk mkopo inachukua mpaka semister nzima kuupata na zaid ya yote usijaribu kwa ardhi mana kuna director pale anafata protocor vibaya sana.sisi kaka zenu yalitukuta haya tukaishi maisha magumu saaaana