azzurre
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 107
- 96
Na omba msaada kwa wale wanaojua dawa au aina ya tatizo au sababu ya tatizo linalomkabili mama angu
Mama angu ana umri wa miaka 47, ana tatizo la kuumwa upande mmoja wa mwili kutoka kwenye paja (Joint ya paja/mguu) hadi vidoleni, anapata maumivu makali na anashindwa hata kutembea, tumeshampeleka Hospitali ila bado tatizo halijaondoka, baadhi ya maumivu anayo yapata yamejumuisha:
1. Kutokuweza kutembea
2. Mkuu kupata Ganzi kila mara
Naomba madocta wa JF wanisaidie kupata dawa au tiba ya tatizo au hospitali iliokuwa bora kwa ugonjwa huu au vipimo maalum kwa ugonnjwa wa aina hii au sababu za ugonjwa huu nk