Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nahitaji kujua sheria inasemaje Kwa kile nachohitaji kukifanyaKwanini unawaza kuacha kazi alafu usisumbuliwe na watu wa benki mkuu? Unataka ukiacha kazi alafu marejesho ya fedha za watu iwe Basi?
Usijiruhusu mawazo mabaya mkuu. Uliomba mkopo ukiwa na shida fulani na pengine mkopo huo ulikusaidia Sana Sasa umesahau unaomba akili ya kuukimbia mkopo. Si sawa mkuu. Weka mikakati ulipe pesa za watu.
Ndani ya nafsi yako jitahidi sana uwe msafi mkuu. Itakulipa siku moja amini nakwambia
Mbona ww umeweza kukomaa au unafikiri anakuja kufanya biashara unayofanya akuzidi maisha make binadamu nao hatupendi maendeleo ya wengine.Mpaka hapo umeshafeli, unataka kuacha kazi halafu unafikiria kusumbuliwa na ulio wakopa? Sasa huku kitaa ndio ispime kuna usumbufu wa kila aina lkn wanaume tunakomaa. Nakushaur ubaki hukohuko
Hana mda na msimamizi wa kusimamisha biashara iyo ndo maana ameamua kwenda kuifanya yy mwenyew, na kwann umpe mtu mamilion ya ela ajifunzie biashara na kukutia hasara illhali unawezo wa kufanya jamb hilo.Usiache kazi km miradi haijasimama bado
Kaka nipo kwenye posittion yako.. nataka kubwaga, uliandika barua au ulichikikchia tu kimya kimya mpaka walipositisha mshahara? nimelipa 4 years of the 7 years i took.. ila nishapata mchongo nje ya serikali nataka chimba kimojamikopo y utumishi ina bima,
hautafatiliw,
mm nimeshaacha kazi,
nna aman n michongo inasonga