Kuacha kazi

KINYAPENYAPE

Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
64
Reaction score
14
Jamani Mimi ni mtumishi Wa halmashauri na mshahara wangu, pia nafanya Biashara amba inanilipa sana na kama nikiwekeza nguvu na muda wangu wote huko naamini in five years ,umasikini kwangu utakuwa historia.

Ila kila ninapoomba support kutoka kwa familia including my wife ili niache Kazi na kuendelea na Biashara hakuna anayeniunga mkono,Mke ndo anakuwa mkali kweli,mama anasema nisije muuwa kwa presha.

Deep in my heart najua kabisa for sure utumishi huku kwa local government ni kuendeleza tu chain of poverty unless uwe mwizi.

Naomba ushauri nifanyeje
 
Jaribu kupanga vizuri muda wako na ufanye yote ndugu kwa wakati mmoja coz ajira pia ni muhimu sana
 
mkeo ndie aliekuajiri?

nilijua ofisi imegoma resignation ltr yako he hao haata ukipata kazi mwambie unaenda kwenye biashara
 
Mkuu biashara hazitabiliki..kuna boom na doom. Tafadhali nakusihi usiache kazi. Ridhika na hicho hicho unachopata kazini. Weka mtu unaemwamini asimamie.
 
Ndgu bora upate kote ...io n biashara any tim inaweza kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…