Wakuu wana JF,
Naomba kufahamishwa kwa yeyote yule anayefahamu au kushare uzoefu alio-nao:
1. Mama mja mzito wa miezi saba anaweza kuendelea kula mua/ kudinywa au hairuhusiwi?
2. kuna swala la kuongeza njia kwa mama mja mzito, je hii njia huwa inaongezwa kwa kudinywa hadi inapotimia miezi 9 au?
3. Nimewahi kusikia kuwa sio vizuri kufanya tendo la ndoa kwa mama mja mzito kuanzia miezi 7 coz inasababisha siku ya kujifungua kupata aibu kubwa kwa kuanza kutoa mbegu za kiume za mumewe. Je kuna ukweli wowote juu ya hili jambo?
Natanguliza shukrani za dhati.
Asanteni sana!