bado yupo ndani ya ndoa unless wangeachana kisheria....................kusoma hujui hata picha tu kwamba ni mbuzi au mbwa,we vp
Inabidi watu wajifunze tofauti ya kuachana na kutengana!Wengine wanadhani ni kitu kimoja!Lizzy! Hao bado ni mke na mume, walichofanya ni kujipa nafasi ya kujiachia kivingine. Hata wataaram wa mambo ya familia huwa wanatoa option ya distancing for sometimes up to 2yrs
Inabidi watu wajifunze tofauti ya kuachana na kutengana!Wengine wanadhani ni kitu kimoja!
Kifo na kesi ya kucheat"!!!
kuna tofaut gan tupe darasa
Biblia inatambua kuvunjika kwa ndoa kama uaminifu hamna!Kwa mimi ninavyoelewa
Watu kama walikuwa wamefunga ndoa
yaani ndio hivyo mpaka
kifo kiwatenganishe..
Wanaweza waachane au kutengana
Kwa sababu mbali mbali za maisha
kama kucheat, ugomvi, abusing, seek of seeing
each other every day etc ..
Lakini hayo ni ya dunia ,Mbele za Mungu
Wako pamoja ...
Wanaweza wapeane divorce na hizo ni rules nyingine
tu za dunia..
separation na divorce ni vitu viwili tofauti katika sheria. naomba rushwa ili nitoe ufafanuzi zaidi
Biblia inatambua kuvunjika kwa ndoa kama uaminifu hamna!