Kuachana au kutengana??

Hao wametengana tu, kurudiana na kuishi pamoja ni muda wowote.
 
Yes..umeongea point. Mimimum 3 months. hiki ni kipindi za mke/mume kuwa mbali kwa sababu maalum, kama kutoelewana au kila mmoja kuwa na hasira kali juu ya mwenzake. ni kipindi cha kujipumzisha ili hasira zao zitulie na kila mmoja apate muda wa kutafakari kutokuelewana. nin chanzo na nani kwenye makosa..na ni nini kifanyike. bado ni mke na mume.Ni kupeana mapumziko ila hali bado anahisia na mwenzake. muda ukiwadia watarudi na kuishi tena pamoja.
Lizzy! Hao bado ni mke na mume, walichofanya ni kujipa nafasi ya kujiachia kivingine. Hata wataaram wa mambo ya familia huwa wanatoa option ya distancing for sometimes up to 2yrs
 
Inategemea aina ya ndoa waliyofunga,kama ni ya kikristo haina kuachana.bado ni mke tu huyo.
 

Hebu mnijuvye kidogo;

...Hivi kuna mipaka ya nini la kufanya na nini kutofanya kwa mtu mliyetengana nae?
Nauliza kutokana na swali nilokutana nalo njiani...

Najiskia kama 'Msukule' fulani hivi...
 
.

Bwana wee hueleweki, sasa hili ni fumbo au kuna mtu limemkuta anataka ushauri? mimi naona maji yapo humo humo, au unataka tujibu ndio au hapana kama bungeni? walosema ndio wameshinda walosema hapana wameshindwa.
 
Hahahaha....MBU kanuni zote za kukataa kua “msukule“ ulizitoa wewe alafu unarudi na “najisikia kama msukule hivi“ ...sasa sisi wanafunzi itakuaje?!

Nwy nadhani mipaka inatakiwa itegemee mahusiano yatakayobaki baina yenu baada ya kutengana....bila kusahau utayari wako binafsi.Maana mzazi mwenza na aliyewahi TU kua mkeo sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…