woga haupo kwenye sylabus yangu na wala hauhusiki katika ile post! tafuta neno jengine la kuunganisha na hilo neno furaha na ukishindwa nakuvua ugreti thinka rasmi leo, utabaki kuwa JF guru tu.Ahh sitaki kukosea kwahiyo nauliza tena...furaha au woga?
woga haupo kwenye sylabus yangu na wala hauhusiki katika ile post! tafuta neno jengine la kuunganisha na hilo neno furaha na ukishindwa nakuvua ugreti thinka rasmi leo, utabaki kuwa JF guru tu.
hehehe acha nilog out bana. kama sijapigwa ban tutaonana morroHahahahaha FURAHA + MSHAWASHA?Karibu zabibu!
we AD, down wp tena mamito?Next level down
umeona eeeh? Yaani hawa wenzetu sijui wameumbwaje, we ukitaka uinjoi mpe majibu anayotaka yy hata km ni uwongo...utakuta umelala nae yeye halaf anakuuliza ex wako akilala alikuwa hakoromi? , ole wako ujibu alikuwa hakoromi, msala unaanza .dah!
umeona eeeh? Yaani hawa wenzetu sijui wameumbwaje, we ukitaka uinjoi mpe majibu anayotaka yy hata km ni uwongo...
We Lizzy wayasema haya kinadharia zaidi, wenzio tunasema kutokana na uzoefu! Mtu unamwambia ukweli wote,unashanga eti mwenzio anaanza kuonea wivu historia...crazy kabisa! Huwa watu hawareason kabisa, ukitaka uwe safe zaidi iponde sana past relationship yako, hapo mama bichwa litakuwa hilo....!Wala sio kweli!Jifunzeni kusema ukweli badala ya kusingizia wanawake wanapenda uongo!Usimjengee mwenzako kujiamini kwa misingi ambayo sio!Akikuuliza kama Ex wako alikua mzuri sana mjibu ndio kama ndio na sio kama sio!Sio unamwambia wa kawaida tu alafu siku akikutana nae dada wa watu kujimini kunayeyuka kama barafu juani!
We Lizzy wayasema haya kinadharia zaidi, wenzio tunasema kutokana na uzoefu! Mtu unamwambia ukweli wote,unashanga eti mwenzio anaanza kuonea wivu historia...crazy kabisa! Huwa watu hawareason kabisa, ukitaka uwe safe zaidi iponde sana past relationship yako, hapo mama bichwa litakuwa hilo....!
Sasa mbona hujatoa mawazo yako mumy?
My dear Lizzy
kama hakuna talaka bado ni ndoa halali. kumbuka walikula kiapo kiwe ni cha kanisani au kimila.
kwa maana hiyo bado wanakuwa ni mke/mume
Inabidi watu waache kuingia kwenye mahusiano kichwa kichwa!Mtu akikwambia amewahi kua mwanandoa unaomba talaka yake ya maandishi uhakikishe huingizwi kwenye mzunguko wa ajabu!
ulilosema sahihi kabisa. tatizo linakuja unapodai kuona hiyo talaka
utapigwa kalenda mpaka utachoka na mwisho unaambiwa najaribu kumbembelez mke
wangu atie saini na maneno mengi ya usiwe na hofu kila kitu kitakuwa sawa
umetoa angalizo zuri sana
big up sana
love u Lizzy
Yaaah! kama vile unanunua gari kwa dalali...mpaka mwende kwenye database ya Interpol kuangalia kama hiyo gari haijawa black listed!Inabidi watu waache kuingia kwenye mahusiano kichwa kichwa!Mtu akikwambia amewahi kua mwanandoa unaomba talaka yake ya maandishi uhakikishe huingizwi kwenye mzunguko wa ajabu!
Hehehe akishatumia hilo neno "MKE WANGU" unajua muda wa kukimbia umefika!Asante BW...me love you too!
Hehehe akishatumia hilo neno "MKE WANGU" unajua muda wa kukimbia umefika!Asante BW...me love you too!
Yaaah! kama vile unanunua gari kwa dalali...mpaka mwende kwenye database ya Interpol kuangalia kama hiyo gari haijawa black listed!
lols