klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
huyu kungwi wako michelle anahitaji kufanya overtime. khaaaa! eniwei jamaa ashakupa maelezo kwanini ametengana na ex wake?Sirudi tena!Yani unanitolea nje laivu?
mimi bana mwanamke simpi historia ya ukweli hata kidogo. mimi nazani hawa viumbe ni hobby yao kudanganywa na wanafurahia sana so nadhani ni vizuri kuwazidishia upendo kwa kutumia hobby yao ya uongoWe Lizzy wayasema haya kinadharia zaidi, wenzio tunasema kutokana na uzoefu! Mtu unamwambia ukweli wote,unashanga eti mwenzio anaanza kuonea wivu historia...crazy kabisa! Huwa watu hawareason kabisa, ukitaka uwe safe zaidi iponde sana past relationship yako, hapo mama bichwa litakuwa hilo....!
mimi bana mwanamke simpi historia ya ukweli hata kidogo. mimi nazani hawa viumbe ni hobby yao kudanganywa na wanafurahia sana so nadhani ni vizuri kuwazidishia upendo kwa kutumia hobby yao ya uongo
hapa unapinga ukweli usiopingika. amini usiamini wanaume wa hii sampuli unayoipinga ndio wanaume wanaopendwa na wanawake. usibishe, utanikasirisha halaf nitalog outLoh!Ngoja nifunge kuomba nisikutane na watu sampuli yako!
hapa unapinga ukweli usiopingika. amini usiamini wanaume wa hii sampuli unayoipinga ndio wanaume wanaopendwa na wanawake. usibishe, utanikasirisha halaf nitalog out
Habari ndio hiyo!Hamna haja ya kubebana na vitu vya wizi wakati vya halali vipo tena kwa bei chei na ubora zaidi!
hapa unapinga ukweli usiopingika. amini usiamini wanaume wa hii sampuli unayoipinga ndio wanaume wanaopendwa na wanawake. usibishe, utanikasirisha halaf nitalog out
Kwa hili aisee acha tu niishi kiIsidingo ila ukweli kwangu ni muhimu!Kuniambia hakutobadilisha ukweli kwahiyo bora nijue tu!We lizi unaishi kitheori na kiisidingo sana! Wanawake hupenda sana kuwapekua waume zao, wakizipata facts za ukweli badala ya kuzitumia kujenga ndoa zao wanatumia facts kuzibomoa ndoa hizo! Nyie mnatakiwa kupigwa fix zaidi kuliko ukweli kwa manufaa ya ndoa!
Hehehe ila wasiwasi sasa!Ukisikia king'ora unaanza kukimbia kumbe hata sio wewe unatafutwa!Bora ulipie cha halali kwa ubora.. uhakika na amani!
Hehehe imagine ni gari alafu unakamatwa nalo katikati ya msitu..wanakunyang'anya gari na kukuacha pale!Madereva taxi ulishawatukana kwasababu umepata gari..ndugu na majamaa ulishawapaka kwakukushauri usivyotaka...kazi ya kurudi mjini kwa miguu inaanza!Kama hiyo haitoshi na pesa yako uliyotumia kununulia gari hairudi tena hasara inabaki juu yako!te te te te
ukishajua una mali ya wezi unakuwa umejipanga kukubiliana na chochote kitakachotokea au vipi?
mkuu jiografia ya hawa jinsia ya upinzani ni ngumu sana kuielewa lakini ukiielewa basi hawa viumbe ni rahisi sana kuwahandle hata 12 kwa wakati mmoja. hapa nazungumza kwa uzoefu na eksperiens ya kutosha kabisa.Aiseee,:shock:
mkuu jiografia ya hawa jinsia ya upinzani ni ngumu sana kuielewa lakini ukiielewa basi hawa viumbe ni rahisi sana kuwahandle hata 12 kwa wakati mmoja. hapa nazungumza kwa uzoefu na eksperiens ya kutosha kabisa.
mmmmmmmmmmhhh hapo patamu
kwani Lizzy ukinunua gari mpya unatukana dereva taxi eeeee
au unagomba na watu kibao
unakataa hata ushauri wa ndugu duu ukiona mtu wa namna hiyo basi ni ujue mbinafsi sana
mimi mbona haukunigongea?Imebidi nikugongee Thanks!
Imebidi nikugongee Thanks!