Kuachika kisha ukaolewa na mwingine dhambi?!

Hii sheria ya kanisa inabidi iangaliwe vizuri. Maana watu kuishi kama paka na chui ndani ya nyumba hakuna tendo la ndoa ina maana gani? Mie naona kama mtu hauishi vizuri na mwenzako ni bora kuondoka tu ktk hito ndoa. It doesn't matter kama ndoa ya kanisa au ndoa ya wapi. Mie ndio kabisa ningeondoka zamani kama ndoa haifanyi kazi.
 
Kwenye dini zetu mbili kubwa Tanzania kuna utata mwingi tu lakini ukianza kuhoji utaambiwa unakufuru na kanisa/msikiti unaweza kukutenga. Akili mkichwa, kama unaona mambo ndani ya ndoa yamekushinda ni heri kuingia mitini ukapata dhambi kuliko kuishi maisha ya yaliyojaa shida, karaha na majuto kila siku iendayo kwa mungu ili upate thawabu. Mungu anasamehe viumbe wake, hivyo kama alikuwa anayaona mateso ndani ya ndoa basi hizo dhambi anaweza kuzipunguza.
 

Ni kweli ni taratibu za kanisa ambazo zimepitwa na wakati,biblia inasema anaekutwa na uzinzi wa kwanza ana dhambi na yule wa pili yuko huru,ila kanisa liliweka mambo ya kutengana likitegemea labda ndoa inaweza kusuluhishwa,na katika ndoa tusidanganyane jamani,ugomvi mkubwa ni tendo la ndoa,mume/mke mmojawapo akitoka nje na akaonja tamu ya huko ni rahisi kufanya visa hili awe huru,sasa kwanini yule wa pili asipewe nafasi nyingine kwa atakae elewana na kukaa nae vizuri?mie naona hizi sheria za kanisa zingerekebishwa na kuwe na uthibitisho wa kweli si wa kusingizia ili mradi muachane.
 

Duh!! Ni mimi mwenye matatizo au macho yangu hayaoni vizuri...... sound like a hidden bifu here!!
 


Good thinking! I like it!
 
Duh!! Ni mimi mwenye matatizo au macho yangu hayaoni vizuri...... sound like a hidden bifu here!!


Duh! Unamanisha kwamba Mama mia na Ndege ya uchumi ni mme na mke???!!!!! Hii imeniacha hoi! Kwa hiyo mchaga hapendi a squirting woman?!!
 
Kwa sisi wakristo haturuhusiwa kuachana hadi kifo kitutenganishe kwa dini zingine nadhani unaruhusiwa
 

Mkuu hii imetulia. Baba hakujua dini kwa hiyo suala hili halimhusu moja kwa moja.

Pia mimi sipingi kupeana talaka. Napinga mtu anayetaka mambo ya talaka na wakati huo awe muumini au mzee wa kanisa. Kanisa lina kanuni zake kwa hiyo kama mtu hawezi kufuata basi halazimishwi. Haiwezekani kanisa liwe na mianya ya kukwepa kanuni. Hata dini nyingine zina mashrti yake ambayo kama unataka kuwa muumini basi uyafuate bila kurekebisha neno. Ndiyo maana kwa watu wa dini kondomu ni BIG NO. Ila sisi uraiani tunasema kuwa wasioweza kuhimili mihemuko yao au maadili hayajatulia basi watumie ili wawe salama. Tusimulazimishe padre/mchungaji asema kama kuna hali hii au ile basi watu wavunje ndoa au shekh aseme ukitaka kubanjua pembeni (nje ya ndoa) basi tumia zana. Huyo tutakuwa tunamlazimisha kujifuta kazi.
 
Quote: Mama Mia
mkuu mkAMA WALIFUNA KANISANI KABISA...MWISHO WAKAENDA MAHAKAMANI WAKAPEWA TALAKA

Basi Kanisa halihesabu kama wametalakiana ila linasema wametengana kwa mda na baada ya given time t ,watarudiana na kuendelea na ndoa yao kama kawaida.

Huyo mwanamke mwingine atahesabika anafanya UZINZI

una uhakika???
BIBLIA IANSEMA UKIMFUMANIA MKEO AMA AKIWA ANA ZIINI NA MWANAUME MWINGINE RUKS UANLIJUA HILO??NI SAWASAWA NA DINI YETU WANASEMA NGURUWE HARAMU LAKINI UKIWA SEHEMU HAMNA CHAKULA RUKSA KULA .....
 
Ningeishi na huyu mzee mlevi asiyejali watoto wake na asiyejuwa hata yeye ni muumini wa dini gani,Wow THANK YOU MOM AND ILOVE YOU SO MUCH.

SAHIBA.

I LOVE HER TOO ...BR ..USIMSAHAU MAISHANI MWAKO
 
Mkuu darkcity maza alitafuta mbadala au aliamua kuwa sis
 
AJWA
Mkuu SAHIBA maza alitafuta mbadala au aliamua kuwa sis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…