Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
habari zenu mabibi na mabwana??....
vipi mnashiriki walau mlo milo mitatu kwa wiki na familia zenu?
vipi mmeona matokeo mazuri ya hiyo kanuni?.....
ahsanteni sana mabibi na mabwana...
STRAIGHT KWENYE HOJA!...(chakachua nikufabriketi..)
ZINGATIA MAZINGIRA YA MIFANO IFUATAYO (kwa makini tafadhali)
mfano wa kwanza
-katika umri wake wa miaka 22,teamo aliachana na mpenzi wake aliye dumu nae kwa miaka 6 yenye
-mapenzi moto moto
-a lots of dreams and ambitions
-a lots of promises
-teamo kwa kumuheshimu mpenzi wake aliamua,,bila kushurutishwa kuikubali hoja ya NO SEX BEFORE MARRIAGE,na aliisimamia hiyo kwa kuuheshimu mwili wa mpenzi wake (mke mtarajiwa)
sasa pasi na sababu yoyote,yule binti aliamua tu KUONDOKA,tena without saying goodbye,wala bila kuweka wazi sababu za kuondoka.yaani after so many SWEATING alimsababishia TEARS!KWA VYOVYOTE TEAMO ALIUMIA SANA TENA SANA KWA KUACHWA NA MPENZI WAKE
mfano wa pili
-akiwa na umri wa miaka 32,asprini huyu huyu wa jf...KATIKA BARABARA NA VIGEZO VILEVILE TAJWA HAPO JUU,aliachwa na limupenzi lake...!yani angalia mazingira yale yale ya teamo lakini talking of asprin at HIS 32YRS OLD ALIACHWA NA MUPENZI WAKE...KWA VYOVYOTE ASPRINI ALIUMIA SANA TENA SANA KWA KUACHWA NA MPENZI WAKE
STRAIGHT KWENYE SWALI LANGU SASA
MAUMIVU YA KUACHWA NA ''YOUR/MY FIRST LOVE'' -vs -umri
JE,KUNA MAZINGIRA YOYOTE YA KUTOFAUTIANA KWA MAUMIVU HAYA KWA KIGEZO CHA UMRI?
ahsanteni sana.
ANGALIZO:hiyo hapo juu ni mifano tu,maumivu yanawahusu watu wa jinsia yoyote ile