Kuachwa na your/my first love -vs- umri


BAABAAA BABAAAA BAABAAAAA...babaa huyooooooooooo BABAAAA BABAAA huyoooo BABAAAAAA BABAAA huyoo BABAAAAAA

BAABAAA BABAAAA BAABAAAAA...babaa huyooooooooooo BABAAAA BABAAA huyoooo BABAAAAAA BABAAA huyoo BABAAAAAA

BAABAAA BABAAAA BAABAAAAA...babaa huyooooooooooo BABAAAA BABAAA huyoooo BABAAAAAA BABAAA huyoo BABAAAAAA
 
age aint nothing but a no tu! mtu aumwae kichwa na tumbo wooote wanamaumivu makali lkn inategemea na handling ya mtu ktk maumivu hayo!mwingine anaweza kujikaza kutokana na mazingira mwingine hawezi na kila mmoja anaona ugonjwa wake ni zaidi ya mwingine!,katika misiba pia tumeona kuna watu wanalia sana hasa wanawake lkn haimaanishi wanaume hawana uchungu na msiba huo,na wao kwa nafasi yao wanalia pia tena sana tu!Kuna Dr mmoja alinipa mfano kwamba ktk ajali ya gari ukiona mtu analia kwa nguvu mama weeeee mguu wangu mm,mwangalie vzr atakuwa kachubuka kidogo tu!lkn kuna mtu kakaa pembeni wala halii lkn haelewi kitu gani kimetokea na pemgine anataka kutoka hapo eneo la tukio mwangalie vizuri utakuta kavunjika mguu lkn kwa wakati huo hana maumivu bado ni madogo madogo sana!nadhani nimeeleweka.
 
ok ok....!
kwa hiyo kuumia sana ni FUNCTION OF UMRI?
 
copy!...
 
Mkuu......mjini hapa:
serengeti boys ni dhahabu kwa twiga stars na akina ankal ni almasi kwa serengeti ladies (kama wapo).

Sijui kama umenisoma.
 
Baba_Enock hajawahi kuachwa ila huwa anaacha, kwahiyo sijui hayo "maumivu" yanakuwaje? {disarmed}!
 
hehehehe!
ukiwa darasa la saba mkaahidiana KUOANA

Yule dada aliniliza kweli kweli nilimpenda balaa aliniachia maumivu ambayo sasa yamekuwa sugu kwa hiyo nikiacha au kuachwa siumii
 

Asante FL1 umetoa mifano mizuri na ya kueleweka
 
Fidel kumbe umeanza zamani haya mambo eehhh darasa la saba hakiyamungu wewe kiboko. Kumbe mie nilivuta vuta muda mpaka chuooooooooo

Kumbukumbu zangu zinaonyesha nilianza matusi nikiwa hata chekechea/vidudu sijaanza
 
ok ok....!
kwa hiyo kuumia sana ni FUNCTION OF UMRI?

Aisee kuumia ni swala la kibailojia some are born imotionaly some are not, kwa mfano kuna mtu anaweza kufiwa na mzazi au mtoto lakini ukamkuta anacheka na yuko very strong. Mwingine anafiwa hata na mbwa wake analia na kuhara/due to stress wiki nzima
 

Ngoja nami nijaribu.

Mwanaume at 32 yrs:
Ameshakomaa kifikra, ameshaona mengi, ameshashuhudia mengi yaliyowatokea waliogongwa.
Huyu akiingia kwenye relationship atakuwa makini, atakuwa anajua kuna kugongwa na madhara yake, atakuwa kwa kiasi flani anajiandaa incase akigongwa na vitu kama hivyo.
Huyu ataingia kwenye relationship akiwa na hisia za kimapenzi na yatokanayo na penzi hilo kwa upande wa mwenzie.
Huyu akigongwa, ataumia sana...lakini atapiga moyo konde, na kwa kuwa umri unaenda harakaharaka atatafuta mwanamke mwingine na yule aliyemgonga anageuka kuwa CRAP!

Mwanaume at 22:
Huyu ana hisia kali za kimapenzi, ndio kwanza nguvu za kiume zimekaa sehemu yake.
Huyu atataka apate kabinti kazuri, katakomrusha kitandani kisawasawa. Akipita nako mtaani vidume vimkubali...atatamba nako mtaani. kudanganyana kwa wingi.

Huyu akigongwa....maumivu yake hayasemeki(rejea posti ya Bigirita hapo). Atasononeka, atajisikia aibu mtaani, atajiona ana nuksi. Kutafuta mwingine atakuwa hajiamini..."Kama yule tuliyependana vile kaniacha...hao wngine vipi?"

Miaka 7 atamkumbuka kama Teamo anavomkumbuka (kwa mujibu wa thread) na babu Asprin nshajipatia mama Matesha wangu....wala siikumbuki ile crap!

I will also be right back!
 
loud and clear!...

NB:uliivunja ahadi y ako mwenyewe,dogo akawa anaulizia tu SHANGAZI YUPO WAPI?!...

Mwambie shangazi anisamehe mwaya mie bado ni shangazi yake tu
Itabidi nifanye namna ..
Vip Teamo wewe bado unamkumbuka aliyekupiga kibuti?:A S 39:
 

ninachoshindwa kuelewa ni hiyo dhana ya huyo mwenye 32 KUPATA UZOEFU WA KUONA NA KUSHUHUDIA PEKE YAKE TU.....!kwakweli kama ni ishu za kuona na kushuhudia tu hata darasa la 3-C wanaweza kuwa na uzoefu wa aina hiyo kwakuwa hivi vitu havitokei usiku tu

mimi naendelea kuhoji KUKOMAA KIFIKRA kwa huyo mwenye 32....!labda nithibitishiwe hapa kwamba fikra zinakomaa kwa UMRI TU....!yani UMRI TU FIKRA zinakomaa....!HAPA MIMI NITABISHA MPAKA ASUBUHI.tuna vijana wengi tu wenye 22-25 wana fikra pevu kabisa na wanajua wanachokifanya

NITARUDI
 
Mkuu......mjini hapa:
serengeti boys ni dhahabu kwa twiga stars na akina ankal ni almasi kwa serengeti ladies (kama wapo).

Sijui kama umenisoma.

Big,

Umesomeka lakini....kuna mipressure humo balaaa aiseee.....!
 

Kumbe lengo ni kubishana.

I will be right back!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…