Kuachwa...

kwahiyo nawe umo? walah nikimuona matesha namwambia ckubal aliwe vyake wakati naona!

Ukaambie kaMatesha kangu? Wala hata hakajui nini maana ya kutoswa. Labda ulimaanisha mama yake? Kama ni mama yake mbona hana noma? Au nikuPM namba zake? Kuna siku mpashukuna mmoja alimwambia nimemwona mme wako na baamedi unajua alijibiwaje??? Achana na mama matesha wangu bana! Lazima aende mbinguni!
 
ameckia nyamayao anaolewa anacal anajidai shetani alimpitia nimsamehe ye ndio anastahili kuwa mume wangu.....khaaa, alikuja kunitia machoni nasukuma tumbo mbele.......

Yaani sijui ma X nani aliwafundisha huu upuuzi!

The same applies to me!

Nilipigwa chini eti sikuwa na msimamo; ilhali my Dad alikuwa ametoka kufariki na mwenzangu nikamweleza kuwa itabidi tuahirishe ile level tuliyopanga..........hilo tu kosa!

Aka move on! mpaka leo hajaolewa na mimi nina 5 yrs! Huyu Mungu huyu nyie acheni aitwe Mungu tu! Bila aibu anadai mimi ndiyo nilikuwa Mume pekee ninayemfaa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Babu sitaki kucheka mie unaniharibia hasira zangu bana!
 
Nimeipasha hapa jukwaani kuwa leo tena imegeuka kuwa Cheaters on radio! Mwenyewe nimecheka lakini nimesifia hatua aliyochukua bibie ya kumaliza udhia! Sasa tuone huyo kidume huko home!
 
sorry, hope sijakukwaza, nawangu mcha.. ati kuna mtu akanitel wala usihangaike huwezi kuta mchaga hana mtu nje!

hujanikwaza mom, wanaume ni wanaume tu awe mchina, mchaga, msandawe....akiitwa mwanaume ba c tegemea lolote.
 
Malabuku!!! hajawahi kufiwa yeye?? au alidhani we moyo wako wa chuma??

amelipia mtendo yake sasa.......!!!
 
hujanikwaza mom, wanaume ni wanaume tu awe mchina, mchaga, msandawe....akiitwa mwanaume ba c tegemea lolote.
We si nilikuwa nakuambiaga sisi midume marijali wote lazima tunacheza mechi za mchangani ukawa unanibishia? Imekuwaje leo umekuwa upande wangu ilhali siku zote huwa hatuchezi uwanja mmoja?
 
Malabuku!!! hajawahi kufiwa yeye?? au alidhani we moyo wako wa chuma??

amelipia mtendo yake sasa.......!!!

Nilikuja kujua kuwa kwake muhimu ilikuwa kuolewa na si mimi! Nashukuru Mungu aliniepusha!
@ Nyamayao nipo kwenye ndoa mwaka wa 5 huu sasa hukuwepo wakati naadhimisha na wapwaz hapa?
 
Nilikuja kujua kuwa kwake muhimu ilikuwa kuolewa na si mimi! Nashukuru Mungu aliniepusha!
@ Nyamayao nipo kwenye ndoa mwaka wa 5 huu sasa hukuwepo wakati naadhimisha na wapwaz hapa?

watu kama hawa wanatuacha, tuanumia sana ila hatujui tu Mungu katuepusha nini kwa kweli!!!!
 
Nilikuja kujua kuwa kwake muhimu ilikuwa kuolewa na si mimi! Nashukuru Mungu aliniepusha!
@ Nyamayao nipo kwenye ndoa mwaka wa 5 huu sasa hukuwepo wakati naadhimisha na wapwaz hapa?
Vipi; baby comeback ni vocabulary katika mila zenu?
 
kweli maisha ya ndoa ni magumu, yataka uvumilivu, utaahira na hata ukichaa kuyakabili kwa upande mwingine ni mazuri

Maisha ya uhawala ndo mazuri kwa taarifa yako maana kila mmoja anakuwa hana uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…